Home > Untagged Wabunge Dk Puja na Sebba Walioteuliwa na Rais Kikwete Waapishwa Rasmi Na Spika wa Bunge. Wabunge Dk Puja na Sebba Walioteuliwa na Rais Kikwete Waapishwa Rasmi Na Spika wa Bunge. Mbunge wa kuteuliwa Mhe.Dkt Grace Puja akila kiapo ndani ya Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma,tarehe 27/03/2015. Mbunge wa kuteuliwa Mhe.Innocent Sebba akila kiapo ndani ya ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma,tarehe 27/03/2015. 20:14:00