Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akisalimiana na Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Juma Duni
Haji wakati alipofika kutembelea maendeleo ya ujenzi wa Barabara za
Kiashange -Kijini-Mbuyutende na Matemwe-Muyuni Mkoa wa Kaskazini Unguja
leo inayojengwa na Kampuni ya Pennyroyal Gibraltar Ltd.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akisalimiana na Bi Naila Jidawi msemaji Mkuu wa Kampuni
Pennyroyal Gibraltar Ltd ya Mradi wa (Amber Golf&Beach Resort)
wakati alipotembelea maendeleo ya ujenzi wa Barabara za Kiashange
-Kijini-Mbuyutende na Matemwe-Muyuni Mkoa wa Kaskazini Unguja leo
inayojengwa na Kampuni ya Pennyroyal Gibraltar Ltd.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi na Mmiliki wa Kampuni ya
Pennyroyal Gibraltar Ltd Bw.Brian Thomson leo alipokuwa akiangalia
ramani ya ujenzi wa Barabara za Kiashange -Kijini-Mbuyutende na
Matemwe-Muyuni Mkoa wa Kaskazini Unguja inayojengwa na Kampuni hiyo
ambayo inasimamia mradi wa (Amber Golf&Beach Resort).
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akiangalia ramani ya ujenzi wa Barabara za Kiashange
-Kijini-Mbuyutende na Matemwe-Muyuni Mkoa wa Kaskazini Unguja
inayojengwa na Kampuni ya Pennyroyal Gibraltar Ltd ambayo inasimamia
mradi wa (Amber Golf&Beach Resort) wakati alipotembelea ujenzi wa
barabara leo (wa tatu kushoto) Mkurugenzi na Mmiliki wa Kampuni ya
Pennyroyal Gibraltar Ltd Bw.Brian Thomson na (wapili kulia) Bi Naila
Jidawi msemaji Mkuu wa Kampuni hiyo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akisalimiana na Wananchi wakati alipotembelea maendeleo ya
ujenzi wa Barabara za Kiashange -Kijini-Mbuyutende na Matemwe-Muyuni
Mkoa wa Kaskazini Unguja leo inayojengwa na Kampuni ya Pennyroyal
Gibraltar Ltd.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi na Mmiliki wa Kampuni
ya Pennyroyal Gibraltar Ltd Bw.Brian Thomson alipokuwa akiangalia ramani
ya ujenzi wa Barabara za Kiashange -Kijini-Mbuyutende na Matemwe-Muyuni
Mkoa wa Kaskazini Unguja leo inayojengwa na Kampuni hiyo ambayo
inasimamia mradi wa Amber Golf&Beach Resort (kulia) Bi Naila
Jidawi msemaji Mkuu wa Kampuni Pennyroyal Gibraltar Ltd (wa pili
kushoto) Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Dk.Juma
Malik Akili.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akizungumza na Wananchi wakati alipotembelea ujenzi wa
Barabara za Kiashange -Kijini-Mbuyutende na Matemwe-Muyuni Mkoa wa
Kaskazini Unguja inayojengwa na Kampuni ya Pennyroyal Gibraltar Ltd,
ambayo inasimamia mradi wa Amber Golf&Beach Resort.
Katapila
ya Kampuni ya Pennyroyal Gibraltar Ltd likifanya kazi ya kutawanya
mlima wa mawe wakati wa ujenzi wa Barabara ya Kiashange
-Kijini-Mbuyutende na Matemwe-Muyuni Mkoa wa Kaskazini Unguja
inayojengwa na Kampuni hiyo ambayo inasimamia mradi wa Amber
Golf&Beach Resort Mkoani humo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipofanya ziara fupi
kutembelea barabara hiyo leo.[Picha na Ikulu.]









