Edward
Lowassa, Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu Mstaafu akiwa na Mbunge wa
Vunjo, Augustine Mrema ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri
wa Mambo ya Ndani mwenye mafanikio makubwa.

Mbunge
ambaye tayari ameshatangaza nia yake ya kwenda Ikulu ya Magogoni,
Mbunge wa Nzenga, Dk Hamisi Kingwangala akiwa Bungeni mjini Dodoma hii
leo. Akiuliza Swali hii leo kwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika,
Steven Wasira kuwa atamsaidiaje kunyanyua bei ya zao la pamba.
Manaibu Waziri wakijadiliana jambo na Mbunge.
Mbunge
wa Arumeru Mashariki Goodluck Ole Medeye akiperuzi gazeti tando (blog)
kupitia tablet yake akiwa Bungeni Mjini Dodoma. Upatikanaji wa habari na
taarifa siku hizi umekuwa rahisi.
Martha Mlata Mbunge wa Viti Maalum akiwa Bungeni
Wabunge wakiendelea na shughuli zao Bungeni



