Mdhibiti
na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Profesa Musa Assad akimkabidhidhi
Ripoti yake Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam
leo.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikifungua Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za Serikali muda mfupi baada ya kukabidhiwa na Mdhibiti
na mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Profesa Musa Assad(kushoto)ikulu
jijjini Dar es Salaam leo.Kulia anayeshuhudia ni Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi Ombeni Sefue.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Profesa Musa Assad akizungumza.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya
maofisa waandamizi kutoka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuju wa Hesabu
za Serikali mufa mfupi kabla ya mkuu wa taasisi hiyo Profesa Musa
Assad(Watatu kushoto) kuiwasilisha ikulu jijini Dar es Salaam leo.Watano
Kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue

