SALUM MWALIMU AUNGURUMA SENGEREMA, NI NAIBU KATIBU MKUU CHADEMA, ZENJI
Naibu
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar,
Salim Mwalim, akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa
Shule ya Msingi Sengerema mjini humo mkoani Mwanza hivi karibuni
Naibu
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar,
Salim Mwalim (kushoto) akimsikiliza kada wa Chadema Wilaya ya Sengerema,
Hamis Tabasamu (kulia) akieleza nia yake ya kugombea Ubunge Jimbo la
Sengerema katika Uchaguzi Mkuu 2015