SHEIKH MKUU WA WILAYA YA BAGAMOYO SHEIKH ABDULKADIR MOHAMED RAMIYA ATOA TAMKO LEO
Sheikh
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Sheikh Abdulkadir Mohamed Ramiya akiongea na
mwandishi wa Azam TV Bw. Octaviana baada ya kutoa tamko lake (hapo juu)
leo mjini Bagamoyo, mkoa wa Pwani