https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    SPIKA WA BUNGE MH ANNA MAKINDA ANENA KUHUSU MBUNGE WA KIGOMA ZITTO

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Anna Makinda amesema anamtambua Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Zubeir Kabwe kuwa ni mbunge halali kutokana na ofisi yake kutokuwa na taarifa rasmi kutoka tume ya Taifa ya Uchaguzi kuhusiana na ubunge wake kutenguliwa.
    Akizungumza na waandishi wa habari katika viwanja vya bunge Spika Makinda amesema kuna taratibu zilitakiwa kufuatwa ambapo mpaka sasa taratibu hizo hazijakamilika na kumfanya kumtambua kuwa ni mbunge halali wa jimbo hilo la Kigoma Kaskazini
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: SPIKA WA BUNGE MH ANNA MAKINDA ANENA KUHUSU MBUNGE WA KIGOMA ZITTO Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top