UZEE SHAMBA MJINI KILA MTU BABY ANGALIA MAPIGO YA BIBI MWENYE MIAKA 86 HAPA
Huwezi amini unaweza ukakaa na kustajabu utakacho kiona ila ndo dunia na maajabu yake kikongwe huyu mwenye miaka 86 akionyesha pigo za kiujana bila wasi wasi na swagg kibao za mbelezz .