.jpg)
Meneja
Masoko wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) Maria Alina Kimaryo
akizungumza katika warsha ya siku ya moja ya kujengeana uwezo na
mshikamano mahali pa kazi iliyoandaliwa na kitengo cha masoko cha benki
hiyo na kuwashirikisha wafanyakazi wa vitengo mbalimbali vya NBC. Hafla
hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana.
.jpg)
Mkuu
wa Kitengo cha Kusimami Ubora wa Huduma kwa Wateja wa Benki ya Taifa ya
Biashara (NBC), Jane Dogani (katikati) akizungumza katika warsha ya
siku ya moja ya kujengeana uwezo na mshikamano mahali pa kazi
iliyoandaliwa na kitengo cha masoko cha benki hiyo na kuwashirikisha
wafanyakazi wa vitengo mbalimbali vya NBC.
.jpg)
Kaimu
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC),
Rukia Mtingwa (kulia), akizungumza katika warsha ya siku ya moja ya
kujengeana uwezo na mshikamano mahali pa kazi iliyoandaliwa na kitengo
cha masoko cha benki hiyo na kuwashirikisha wafanyakazi wa vitengo
mbalimbali vya NBC.
.jpg)
Kaimu Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NBC, Pius Tibazarwa (wa pili kulia) akishiriki
michezo na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo katika warsha ya siku ya
moja ya kujengeana uwezo na mshikamano mahali pa kazi iliyoandaliwa na
kitengo cha masoko cha benki hiyo na kuwashirikisha wafanyakazi wa
vitengo mbalimbali vya NBC.
Meneja Mahusiano wa Benki ya NBC, William Kallaghe akizungumza katika warsha hiyo.
.jpg)
Baadhi ya washiriki wa warsha hiyo.
.jpg)
Baadhi ya wafanyakazi wa NBC walioshiriki warsha hiyo wakifanya mafunzo kwa njia ya michezo.
.jpg)
Wafanyakazi
wa kitengo cha masoko cha benki ya NBC wakiwa katika picha ya pamoja na
wafanyakazi wenzao waliowaalika katika warsha hiyo.
.jpg)
Kaimu Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NBC, Pius Tibazarwa (wa sita kushoto, waliosimama)
akipiga picha ya pamoja na wafanyakazi walioshiriki warsha hiyo.
.jpg)
Washiriki
wa warsha hiyo wakibebana katika mchezo wa kuvuka ‘daraja’ ikiwa ni
sehemu ya mafunzo kupitia michezo katika warsha hiyo.
.jpg)
Washiriki
wa warsha hiyo wakifanya moja ya michezo ikiwa ni sehemu ya mafunzo yao
ya kujengeana uwezo na mshikamano katika hafla hiyo.

.jpg)
