Mama Fatma Karume akiwasili katika viwanja vya Afisdi
Kuu ya CCM Kisiwandui kwa ajili ya kuhudhguria Hitma na dua ya kumuombea
Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, iliofanyika Mjini Zanzibar.
Rais Mstaaf wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akiwaili
katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM kuhudhuria hitma ya Baba yake Marehemu Mzee
Abeid Amani Karume, iliofanyika Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM na kupokelewa
kwa na Askari wa JWTZ , akihudhuria Hitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume.
Afisi Kuu.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai alipowasili
katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar kuhudhuria Hitma na Dua
ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume
Shekh
Thabit Norman Jongo akitowa maelezo ya hafla ya kuaza kwa hitma na dua ya
kumuombea Mzee Karume iliofanyika katika Afisi Kuu ya CCM kisiwandui Zanzibar.
Mufti Mkuu wa Zanzibar Shekh. Saleh Omar Kabi akisoma
dua kabla ya kuaza kwa kisomo cha hitma ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani
Karume.kilichofanyika leo Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein(katikati) akiwaongoza Viongozi mbali mbali pamoja na Wananchi
katika Kisomo cha hitma ya aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu
Mzee Abeid Amani Karume katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui
Mjini Unguja Iliyofanyika leo asubuhi.
Baadhi
ya Viongozo wakisoma hitma akiwemo aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Zanzibar
Marehemu Mzee Abeid Amani Karume(kushoto) Balozi Ali Karume katika
ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja Iliyofanyika leo
asubuhi.
Waislamu
na wananchi mbali mbali wakiwa katika kisomo cha hitma ya aliyekuwa
Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume katika
ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja Iliyofanyika leo
asubuhi.
Akinamama
wa Mitaa mbali mbali ya Mji wa Unguja wakiwa katika kisomo cha Hitma ya
aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume
katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja Iliyofanyika
leo asubuhi.
Mke wa
Rais Zanzibar Mama Mwanamwema Shein(katikati) akiwa na Mama Shadya
Karume Mke wa Rais Mstaafu wa Zanzibar(wa tatu kulia) Mama Fatma Karume
(wa pili kulia) Mke wa Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mama Zakia
Bilali (kushoto) Bi Khadija Aboud (wa pili kushoto)Mjumbe wa Kamati Kuu
wa CCM,katika hitma ya kumuombea dua Rais wa kwanza wa Zanzibar Marehemu
Mzee Abeid Amani Karume,iliyosomwa leo katika ukumbi wa Ofisi ya CCM
Kisiwandui Mjini Unguja.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein akiweka shada la mauwa katika kaburi la Marehemu Rais wa kwanza wa
Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume,baada ya kisomo cha hitma na dua
iliyoombwa na wananchi wa Zanzibar katika Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini
Zanzibar leo asubuhi.
Makamo
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilali
akiweka shada la mauwa katika kaburi la Marehemu Rais wa kwanza wa
Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume,baada ya kisomo cha hitma na dua
iliyoombwa na wananchi wa Zanzibar katika Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini
Zanzibar leo asubuhi.
Muasisi
wa Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Hamid Ameir akiweka shada la mauwa katika
kaburi la Marehemu Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani
Karume,baada ya kisomo cha hitma na dua iliyoombwa na wananchi wa
Zanzibar katika Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar leo asubuhi.
Balozi
Ali Karume (Mtototo) kwa niaba ya familia akiweka shada la mauwa katika
kaburi la Marehemu Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani
Karume,baada ya kisomo cha hitma na dua iliyoombwa na wananchi wa
Zanzibar katika Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar leo asubuhi.
Wake
wa Viongozi wakiitikia dua iliyoombwa katika kaburi la Marehemu
MzeeAbeid Amani Karume baada ya hitma iliyosomwa leo katika ukumbi wa
Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja na kuhudhuriwa na waislamu mbali
mbali Mjni na Vijijini.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein pamoja na Viongizi wengine wakiitikia Dua iliyoombwa na Mufti Mkuu
wa zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia) baada ya kisomo cha hitma
iliyosomwa leo katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.
Baba
Askofu wa Anglikan wa Kanisa la Mkunazini Michael Hafidh akiomba dua
wakati Viongozi mbali mbali waliofika katika kaburi la aliyekua Rais wa
Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,baada ya kisomo cha
hitma iliyosomwa leo katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini
Unguja.(Picha na Ikulu, Zanzibar.)
Mufti
Mkuu wa Zanzibar Shekh. Saleh Omar Kabi akisoma dua kabla ya kuaza kwa kisomo
cha hitma ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume.kilichofanyika leo
Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.kulia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania, Kadhi Mkuu wa Zanzibar Shekh. Khamis Haji Khamis na kushoto Makamu wa
Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad na Rais Mstaaf wa Zanzibar
Dk Amani Abeid Karume.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk
Ali Mohamed Shein, akijumuika na Wananchi wa Zanzibar katika kisomo cha hitma
kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume kulia Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Kadhi Mkuu wa Zanzibar Shekh. Khamis Haji Khamis, Makamu wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Spika wa Baraza la Wawakilishi
Zanzibar Mhe, Pandu Ameir Kificho.
Viongozi wa Dini na Wananchi wakiwa katika ukumbi wa hafla
wakiitikia Dua.