Ofisa
Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Georgia
Mutagahywa (kulia) akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi Mkuu wa MIC Tanzania
(Tigo), Cecilia Tiano (kushoto) wakati wa hafla ya kutia saini mikataba
ya miradi miwili ya upelekaji mawasiliano vijijini awamu ya 2A kati ya
Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF)na kampuni za simu za mkononi
uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.Miradi hiyo ni upelekaji wa
mawasiliano mipakani na maeneo maalum na mradi wa kuunganisha Intaneti
kwenye Shule za Umma.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF) Eng. Peter Ulanga
akizungumza na waandishi wa habari (hawamo pichani) wakati wa hafla ya
kutia saini mikataba ya miradi miwili ya upelekaji mawasiliano vijijini
awamu ya 2A kati ya Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF)na kampuni za
simu za mkononi uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Miradi hiyo ni
upelekaji wa mawasiliano mipakani na maeneo maalum na mradi wa
kuunganisha Intaneti kwenye Shule za Umma.
Ofisa
Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Georgia
Mutagahywa (wa kwanza kulia) akisikiliza kwa makini wakati wa hafla ya
kutia saini mikataba ya miradi miwili ya upelekaji mawasiliano vijijini
awamu ya 2A kati ya Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF)na kampuni za
simu za mkononi uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Pamoja naye ni
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi ya MIC Tanzania (Tigo)
Cecilia Tiano (wa pili kutoka kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya
Mawasiliano ya Simu ya Tanzania (TTCL) Kamugisha Kazaura (wa tatu kutoka
kulia).
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma, akisisitiza
jambo kwa waandishi wa habari (hawamo pichani) wakati wa hafla ya kutia
saini mikataba ya miradi miwili ya upelekaji mawasiliano vijijini awamu
ya 2A kati ya Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF)na kampuni za simu
za mkononi uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Miradi hiyo ni
upelekaji wa mawasiliano mipakani na maeneo maalum na mradi wa
kuunganisha Intaneti kwenye Shule za Umma.
Ofisa
Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Georgia
Mutagahywa (wa kwanza kulia) akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa MIC
Tanzania (Tigo), Cecilia Tiano (wa pili kulia) wakati wa hafla ya kutia
saini mikataba ya miradi miwili ya upelekaji mawasiliano vijijini awamu
ya 2A kati ya Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF)na kampuni za simu za
mkononi uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Miradi hiyo ni upelekaji
wa mawasiliano mipakani na maeneo maalum na mradi wa kuunganisha
Intaneti kwenye Shule za Umma.
Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mawasiliano ya Simu ya Tanzania
(TTCL) Kamugisha Kazaura .
Ofisa
Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Georgia
Mutagahywa (wa pili kutoka kulia) akisaini mkataba wa miradi miwili ya
upelekaji mawasiliano vijijini awamu ya 2A kati ya Mfuko Wa Mawasiliano
Kwa Wote (UCSAF)na kampuni za simu za mkononi katika hafla iliyofanyika
leo jijini Dar es Salaam. Miradi hiyo ni upelekaji wa mawasiliano
mipakani na maeneo maalum na mradi wa kuunganisha Intaneti kwenye Shule
za Umma,wengine ni mwakilishi wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel
Tanzania (wa kwanza kulia), Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya simu za
mkononi ya MIC Tanzania (Tigo) Cecilia Tiano (wa pili kutoka kulia) na
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF) Eng. Peter
Ulanga (wa tatu kulia).
Waziri
wa Sayansi, Teknolojia na Mawasialiano Prof. Makame Mbarawa (wa kwanza
kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF) Eng.
Peter Ulanga (wa pili kutoka kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya
Mawasiliano ya Simu ya Tanzania (TTCL) Kamugisha Kazaura (wa tatu kutoka
kushoto) na Ofisa Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom
Tanzania, Georgia Mutagahywa (kulia) wakimsikiliza kwa makini
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma
(hayupo pichani) wakati wa hafla ya kutia saini mikataba ya miradi
miwili ya upelekaji mawasiliano vijijini awamu ya 2A kati ya Mfuko Wa
Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF)na kampuni za simu za mkononi uliofanyika
leo jijini Dar es Salaam,Miradi hiyo ni upelekaji wa mawasiliano
mipakani na maeneo maalum na mradi wa kuunganisha Intaneti kwenye Shule
za Umma.