https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Mastaa 10 wa kiume matajiri kwenye movie Marekani na India

    Fast Seven
    Time hii nimeona nigeukie kwenye sekta ya movie mtu wangu, hapa nimekusogezea list ya actors wa movie ambao ndio wamekaa kwenye top 10 ya
    utajiri mwaka huu 2015 kutoka Industry ya Marekani yani Hollywood na India (Bollywood).
    Icheki hii list hapa, huenda kuna staa wako unaemkubali yuko hapa…
    1. Mel Gibson
    mel
    Utajiri wa staa huyu wa Hollywood ni kama dola Mil. 600 na kwa mwaka anaingiza zaidi ya dola Mil. 72.
    2. Shahrukh Khan
    shak
    Staa wa Bollywood, utajiri wake ni dola Mil. 600 sawa na Mel Gibson.. Anaingiza jumla ya dola Mil. 72 kwa mwaka.
    3. Jack Nicholson
    jack
    Utajiri wa staa huyu ni dola Mil. 400, kipato chake kwa mwaka anaingiza dola Mil. 48.
    4. Sylvester Stallone
    mojaaa
    Wengi wanamfahamu kama ‘Rambo‘, staa wa Movie za action Marekani. Jamaa nae yumo yani, utajiri wake ni kama dola Mil. 400, bado kwa mwaka ana wastani wa kungiza dola Mil. 48 kwa mwaka.
    5. Tom Cruise
    Knight And Day - UK Film Premiere - Red Carpet Arrivals
    Utajiri wake ni dola Mil. 380, bado anakusanya mkwanja wa kutosha yani, kwa mwaka ni kama dola Mil. 46.
    6. Johnny Depp
    sita
    Yuko nafasi ya sita, utajiri wake ni dola Mil. 350.. kwa mwaka bado ana kipato kinachofikia dola Mil. 42.
    7. Tom Hanks
    tom
    Ana utajiri wa dola 350,000,000 na kila mwezi hupokea kiasi cha dola 42,424,242
    anold
    Mbali na kuwa actor maarufu duniani, aliwahi kuwa Governor wa California kuanzia mwaka 2003 mpaka 2011. Yuko nafasi ya nane, utajiri wake ni kama dola Mil. 300, bado anapiga kazi na anakadiliwa kuingiza kama dola Mil. 36.
    9. Michael Douglas
    tisa
    Jamaa ni kama wanalingana na Arnold hivi, nae ana utajiri wa dola Mil. 300 pamoja na kuingiza dola Mil. 36 kwa mwaka.
    10. Adam Sandler
    adam
    Huyu jamaa ni mmoja ya mastaa wa Hollywood, kaonekana na kwenye Movie ya Grown Ups2 pamoja na mastaa wengine kama Chris Rock. Utajiri wake ni dola Mil. 300, kwa mwaka pia kipato chake ni kama dola Mil. 36, sawa na Michael Douglas.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: Mastaa 10 wa kiume matajiri kwenye movie Marekani na India Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top