MAZOEZI YA MWISHO YA MAANDALIZI YA UZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KWA MWAKA 2015 MJINI SONGEA
Waziri
wa Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Dkt. Fenella
Mukangara (katikati)akishaurina na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said
Mwambungu(kushotoi) na Waziri wa Uwezeshaji , Ustawi wa Jamii , Vijana
,wanawake na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Zainabu Omary
Mohamed(kulia) leo mjini Songea wakati wa mazoezi ya mwisho ya
maandalizi ya uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2015,
utakaozinduliwa tarehe 29.4.2015 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Kaimu
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana James Kajugusi(wa pili
kulia) akitoa ufafanuzi kwa Naibu Waziri wa Habari , Vijana , Utamaduni
na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia (kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said
Mwambungu(wa pili kushoto) na Katibu Mkuu wa Mkuu wa Habari , Vijana ,
Utamaduni na Michezo Sihaba Nkinga(kulia) leo mjini Songea wakati wa
mazoezi ya mwisho ya maandalizi ya uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru
kwa mwaka 2015 ,utakaozinduliwa tarehe 29.4.2015 na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Waziri
wa Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Dkt. Fenella
Mukangara (katikati)akiongea na waandishi wa habari leo mjini Songea
wakati wa mazoezi ya mwisho ya maandalizi ya uzinduzi wa mbio za Mwenge
wa Uhuru kwa mwaka 2015 utakaozinduliwa tarehe 29.4.2015 na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Waziri
wa Habari , Vijana , Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Dkt. Fenella
Mukangara (kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu(wa pili
kushoto) na Katibu Mkuu wa Mkuu wa Habari , Vijana , Utamaduni na
Michezo Sihaba Nkinga(kulia) wakishauriana leo mjini Songea wakati wa
mazoezi ya mwisho ya maandalizi ya uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru
kwa mwaka 2015 ,utakaozinduliwa tarehe 29.4.2015 na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Kikundi
cha sanaa cha Mlale JKT mkoani Ruvuna kikitumbuiza leo mjini Songea
wakati wa mazoezi ya mwisho ya maandalizi ya uzinduzi wa mbio za Mwenge
wa Uhuru kwa mwaka 2015 ,utakaozinduliwa tarehe 29.4.2015 na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.