UJUMBE WA WATAALAMU MABINGWA WA MAGONJWA YA KICHWA NA UTI WA MGONGO
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Kiongozi wa Watalaamu Mabingwa wa Magonjwa ya Kichwa,
Uti wa Mgongo na Matibabu ya Maumivu kutoka nchi za Afrika Mashariki
Dk.Mahmoud Qureshi pia Makamu wa Rais wa Taasisi ya Maendeleo ya Mafunzo
Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu alipofika Ikulu Mjini Zanzibar na ujumbe
aliofuatana nao jana.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Ujumbe wa Watalaamu Mabingwa wa Magonjwa ya Kichwa, Uti
wa Mgongo na Matibabu ya Maumivu kutoka nchi za Afrika Mashariki
ukiongozwa na Dk.Mahmoud Qureshi pia Makamu wa Rais wa Taasisi ya
Maendeleo ya Mafunzo Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu ulipofika Ikulu Mjini
Zanzibar jana.