Mshindi
wa kitita cha shilingi milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions
inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, Irene Mrema (kushoto) mkazi wa Kawe
Jijijini Dar es Salaam akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo
pichani) wakati wa hafla ya kukabidhiwa hundi yake na Mkuu wa Kitengo
cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia
(katikati) na Balozi wa promosheni hiyo Hillary Daud”Jaymillions”kulia
baada ya kuibuka mshindi wa kitita hicho kupitia promosheni hiyo ambayo
imeongezwa muda mpaka Mei 7 mwaka huu.Hafla hiyo ilifanyika makao makuu
ya kampuni hiyo Mlimani City jijini Dar es Salaam. Ili mteja kujua kama
ameshinda anatakiwa kutuma neno JAY au AUTO kwenda namba 15544.
Balozi
wa Promosheni ya JayMillions Hillary
Daud”Jaymillions”(kushoto)akimkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi
milioni 100/- Mshindi wa kitita hicho mkazi wa Kawe jijini Dar es
salaam Irene Mrema(kulia) alichojishindia kupitia promosheni hiyo
inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, anayeshuhudia katikati ni Mkuu wa
Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa kampuni hiyo, Rosalynn
Mworia.Hafla hiyo ilifanyika makao makuu ya kampuni hiyo mlimani city
jijini Dar es Salaam. Mlimani City jijini Dar es Salaam. Ili mteja
kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno JAY au AUTO kwenda namba
15544.
Balozi
wa Promosheni ya JayMillions Hillary Daud”Jaymillions” na Rosalynn
Mworia ambaye ni Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom
Tanzania,wakimshuhudia Mshindi wa kitita cha shilingi milioni 100/-
Irene Mrema ambaye ni mkazi wa Kawe jijini Dar es Salaam akisoma
tarakimu kwenye hundi ya fedha alizojishindia kupitia promosheni hiyo
inayoendeshwa na kampuni hiyo, iliyofanyika makao makuu ya kampuni
hiyo Mlimani City jijini Dar es Salaam. Ili mteja kujua kama ameshinda
anatakiwa kutuma neno JAY au AUTO kwenda namba 15544.
Mkazi
wa Kawe jijini Dar es Salaam Irene Mrema aliyeibuka mshindi wa kitita
cha shilingi milioni 100/= kupitia promosheni ya Jaymillions
inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,akiwa amepozi kwenye picha na hundi
yake baada ya kukabidhiwa rasmi na Balozi wa promosheni hiyo Hillary
Daud na Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa kampuni hiyo
Rosalynn Mworia(hawapo pichani) wakati wa hafla hiyo ilifanyika makao
makuu ya kampuni hiyo Mlimani City jijini Dar es Salaam. Ili mteja
kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno JAY au AUTO kwenda namba
15544.
Rosalynn
Mworia ambaye ni Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom
Tanzania na Balozi wa Promosheni ya Jaymillions Hillary
Daud”Jaymillions” wakimpongeza kwa kumpigia makofi mshindi wa kitita cha
shilingi milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa
na kampuni hiyo, Irene Mrema(aliyeshikilia hundi) mkazi wa Kawe jijini
Dar es Salaam wakati wa hafla ya kukabidhiwa hundi hiyo baada ya
kukabidhiwa kitita chake. Hafla hiyo ilifanyika Makao makuu ya kampuni
hiyo Mlimani City jijini Dar es Salaam. Ili mteja kujua kama ameshinda
anatakiwa kutuma neno JAY au AUTO kwenda namba 15544.
Mshindi
mwingine wa kitita cha shilingi Milioni 100/kupitia Promosheni ya
Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Irene Mrema (30) mkazi wa
Kawe jijini Dar es Salaam leo amekabidhiwa kitita cha fedha
alizojishindia katika hafla iliyofanyika kwenye ofisi za Vodacom Makao
makuu Milima City jijini Dar es Salaam.
Irene
Mrema ambaye ni Ofisa manunuzi na ugavi katika Shirika la Umeme Tanzania
(TANESCO) na mama mwenye watoto wawili amesema kuwa amefurahia ushindi
huu na ana imani kitita alichojishindia kwa kiasi kikubwa
kitayabadilisha maisha yake kuwa bora zaidi kwa kufungua miradi ya
kujikimu kimapato na kusaidia familia yake na ndugu zake.”Nashukuru
Mwenyeji Mungu kwa kuniona na nashukuru Vodacom kwa kuleta promosheni
kwa ushindi huu nimeamini kuwa Jaymillions sio promosheni ya mzaha na
matangazo bali ya ukweli na nawasihi watanzania wenzangu tuchangamkie
fursa hii”.Alisema kwa furaha.
Promosheni
ya Jaymillions inayoendelea ikiwa inakaribia kufikia mwisho
imeishawawezesha baadhi ya wateja wa Vodacom kuwa mamilionea kwa kuweza
kujinasua katika hali duni ya maisha na maisha kuwa murua na hadi
kufikia sasa wameishapatikana washindi watatu wa milioni 100/-washindi
sita wa milioni 10/-na washindi 40 wa milioni 1/-na maelfu ya wateja
wamejishindia muda wa maongezi.
Washindi
wa milioni 100/-ni Uwezo Madegenge kutoka wilayani Kilolo mkoani Iringa
, Khamis Khalid kutoka Mtwara na mshindi wa leo ni Irene Mrema wa
jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia,
amempongeza mshindi na kutangaza kuwa kutokana na maombi ya wateja
promosheni hiyo imeongezewa muda wa wiki mbili zaidi hadi May 7 ili
kutoa fursa kwa wateja kuendelea kujaribu bahati zao.