| Baadhi ya wafanyabiashara wakimsikiliza mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro katika mkutano huo. |
| Mjumbe wa kamati maalumu ya kuratibu kero za Biashara mkoa wa Kilimanjaro Patrick Boisafi akisoma kero zilizoratibiwa mbele ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama. |
| Baadhi ya wafanyabiashara. |
| Katibu wa Jumuiya ya wafanyabiashara Tanzania ,tawi la Kilimanjaro,Mmasi Sambuo akisoma kero mbalimbali zinazowakabili wafanyabiashara Kilimanjaro mbele ya mkuu wa mkoa. |
| Wafanyabiashara wakifuatilia mkutano huo. |
| Add caption |
| Baadhi ya wafanyabiashara wakitoa kero zao. |

