Ajali
za Tanzania kwenye vichwa vya habari zimezidi kuongezeka, leo April 17
2015 ajali nyingine imetokea Mbeya baada ya gari la abiria kupoteza
mwelekeo na kuingia mtoni Mbeya.
Taarifa zilizothibitishwa na kamanda wa Polisi Mbeya zinasema waliofariki mpaka sasa ni 19, endelea kukaa karibu nasi kwa taarifa zaidi.