https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Serikali imezifutia usajili Asasi zisizo za Kiserikali(NGOs) 24 zinazodaiwa kukiuka matakwa ya kisheria katika utendaji wake wa kazi.....Orodha Kamili Iko Hapa


    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa asasi za kiraia (NGOs) zilizoorodheshwa hapa chini zimefutiwa usajili wake kuanzia tarehe ya tangazo hili; kutokana na kukiuka matakwa ya kisheria katika utendaji kazi.

    Kwa tangazo hili, uhalali wa kufanya kazi kwa mashirika haya umekoma na kuendelea kufanya kazi baada ya kufutiwa usajili ni kosa la jinai. Viongozi wa NGOs tajwa wanaagizwa kurejesha vyeti vya usajili kwa Msajili ndani ya siku thelathini baada ya tangazo hili.

    Orodha hii inahusisha mashirika ya kimataifa yanayofanya kazi Tanzania. Orodha ya mashirika ya ndani inachambuliwa na itatangazwa muda wowote kuanzia sasa;

    1. AFRICA CALL MANAGEMENT INSTITUTE (ACMI)

    2. AFRICA CENTRE FOR PEACE AND DEVELOPMENT

    3. AIDOS - TANZANIA

    4. ASSOCIAZIONE CASAGLIA ROSETTA

    5. COPE-COOPERATION DEVELOPMENT COUNTRIES

    6. DAN CHURCH AID

    7. DIGITAL LINKS TANZANIA

    8. EKKLESIA INTERNATIONAL TANZANIA

    9. FEED THE CHILDREN TANZANIA

    10. GLOBAL ALLIANCE FOR AFRICA TANZANIA

    11. GLOBAL VESSELS TANZANIA

    12. HEALTH DEVELOPMENT INTERNATIONAL (HDI)

    13. EMPOWERMENT RESULT IN BALANCE AND EQUALITY (ERBAAQ)

    14. MENNONITE CENTRAL COMMITTEE IN TANZANIA (MCCTZ)

    15. MIDMAY INTERNATIONAL

    16. PAMOJA INC.

    17. PAN AFRICAN WHEEL CHAIR BUILDERS ASSOCIATION (PAWBA)

    18. JAMII ONLUS

    19. THE BALM IN GILEAD TANZANIA

    20. THE INTERNATIONAL INSTITUTE OF THE IOGT - NTO MOVEMENT

    21. TROCAIRE

    22. VETERINARIANS WITHOUT BORDERS GERMANY(VSF- GERMANY)

    23. WORLD ISLAMIC CALL SOCIETY

    24. WORLD SOCIETY FOR THE PROTECTION OF ANIMALS (WSPA),

    Imetolewa na;
    OFISI YA MSAJILI
    WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO

    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: Serikali imezifutia usajili Asasi zisizo za Kiserikali(NGOs) 24 zinazodaiwa kukiuka matakwa ya kisheria katika utendaji wake wa kazi.....Orodha Kamili Iko Hapa Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top