Gazeti moja nchini Marekani
linasema kuwa wadukuzi wa mitandao wa Urusi ambao walifanikiwa kudukua
mifumo ya kompyuta ya ikulu ya white house nchini Marekani walifanikiwa
kusoma email za rais Obama zisizokuwa za kisiri..
Gazeti la the New York Times linasema kuwa udukuzi huo ulikuwa mkubwa kushinda ule uliothibitishwa na serikali.
Wengi wa maafisa wa vyeo vya juu katika ikulu ya Marekani wana kompyuta mbili , moja ikiwa ni ya kisiri na nyingine ambayo inaweza kutumiwa kuwasiliana kote ulimwengun

