Mchezaji
wa Timu ya Etoile Du Sahel ya Tunisia, Bounedjah Baghdad akiangalia
namna ya kuwatoka wachezaji wa Yanga, Mbuyu Twite na Amissi
Tambwe wakati
wa mchezo wa Kimataifa wa Kombe la Shirikisho unaoendelea kupigwa hivi
sasa kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam. Kipindi cha pili
kimeanza hivi punde na matokeo ni 1-1.
Mshambuliaji
wa Yanga, Mrisho Ngassa akiruka daluga la Beki wa Timu ya Etoile Du
Sahel ya Tunisia wakati wa mchezo wa Kimataifa wa Kombe la Shirikisho
unaoendelea kupigwa hivi sasa kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es
salaam. Kipindi cha pili kimeanza hivi punde na matokeo ni 1-1.
Wachezajiwa Timu ya Yanga, wakishangilia ushindi sambamba na mashabiki
wao kufuatia goli la kwanza katika dakika ya kwanza lililofungwa na
Canavaro kwa mkwaju wa penati.
Kiungo wa Timu ya Etoile Du Sahel ya Tunisia, Franck Kom aruka juu kuwania mpira wa kichwa wakati
wa mchezo wa Kimataifa wa Kombe la Shirikisho unaoendelea kupigwa hivi
sasa kwenye uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam. Kipindi cha pili
kimeanza hivi punde na matokeo ni 1-1.