Diwani
wa Soko la Tazara Vetenary, Zahoro Maganga akitoa maelezo kwa Mbunge wa
Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu alipotembelea maeneo yaliyoharibiwa na
mvua akiongozana na viongozi wa Wakala wa Serikali wa Barabara
(Tanroads) jinsi maji yanavyotakiwa kufuata mfereji huo ambao haupitishi
maji kupeleka katika mfereji huo .
Mbunge
wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kulia) akizungumza na viongozi wa
Wakala wa Serikali wa Barabara (Tanroads) katika ziara ya kutembelea
maeneo yaliyo haribiwa na mvua zilizokuwa zikiendelea kunyesha Jijini
Dar es Salaam (kushoto) ni Meneja wa Tanroads Mkoa wa Dar es Salaam,
Mhandisi Julius Ndyamukama.
Mhandisi
Mradi Tanroads Mkoa wa Dar es Salaam, Ngusa Julius (wa pili kulia)
akimwelekeza jambo Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (aliye vaa
kofia) wakati wa ziara ya kutembelea maeneo mbalimbali ya jimbo lake
yaliyo haribiwa na mvua na kusaidia kutowa Mashine ya kuondoa maji hayo
yaweze kuondolewa (kushoto) ni Katibu wa Kamati ya maafa na miundombinu
ya Soko la Vetenary Manispaa ya Temeke Morocco Milanzi na kulia ni
Naibu Meya Manispa Temeke Juma Mkenga.
Katibu
wa Kamati ya maafa na miundombinu ya Soko la Vetenary Manispaa ya
Temeke Morocco Milanzi (wapili kulia) akizungumza na viongozi wa Wakala
wa Serikali wa Barabara (Tanroads) wakiongozwa na Mbunge wa Jimbo la
Temeke Abbas Mtemvu (wa pili kushoto), wakati wa ziara ya kutembelea
maeneo yaliyo haribiwa na mvua zilizokuwa zikiendelea kunyesha Jijini
Dar es Salaam na mbunge huyo kusaidia mashine ya kuyaondosha maji hayo.
Baadhi ya maeneo waliyo kumbwa na maji katika Soko la Vetenary Manispaa ya Temeke
Mwenyekiti
wa Serikali ya Mta wa Kilimahewa Tandika Devis Coner Mfaume Mbonde
(kulia) akielekeza jambo wakati wa ziara ya Mbunge na viongozi wa
Tanroads wakiangalia maeneo yaliyoharibiwa na mvua nakuahidi kufanyia
marekebisho maeneo hayo. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)