Mke
wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,
Chiku Galawa, (wapili kulia) , Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na
Michezo, Dkt, Fenella Mkangala (kulia) na Mke wa Waziri wa Fedha, Naima
Malima (kushoto) katika mazishi ya aliekuwa Mwandishi wa habari wa TBC
Dodoma, Samwel Chamulomo , numbani kwa Marehemu eno la Mlezi Dodoma
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, DKt. Fenella Mukangara
akizungumza katika ibada ya kumwombea marehemu Samweli Chamulomo
iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, DKt. Fenella Mukangara akitoa
heshima za mwisho kwa marehemu Samweli Chamulomo baada ya ibada ya
kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi,
Dodoma
Mke
wa Waziri mkuu,Mama tunu Pinda akitoa heshima za mwisho kwa marehemu
Samweli Chamulomo baada ya ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika
nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi
Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Chiku Galawa akitoa heshima za mwisho kwa
marehemu Samweli Chamulomo baada ya ibada ya kumwombea marehemu
iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma,
Mkurugenzi Mkuu wa TBC Bw. Clement Mshana na waombolezaji wengine wakitoa
heshima za mwisho kwa marehemu Samweli Chamulomo baada ya ibada ya
kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu, eneo la Mlezi,
Dodoma
Baadhi
ya Waandishi wa habari wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu Samweli
Chamulomo baada ya ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa
marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma,
Baadhi
ya Waandishi wa habari wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu Samweli
Chamulomo baada ya ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa
marehemu, eneo la Mlezi, Dodoma,
Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akitoa heshima zake za mwisho
Mke
wa aliyekuwa mwandishi wa habari wa TBC, Samweli Chamulomo,Theresia
Bura akimuaga kwa uchungu mpenzi mumewe marehemu Samweli Chamulomo
kwenye ibada ya kumwombea marehemu iliyofanyika nyumbani kwa marehemu,
eneo la Mlezi, Dodoma
Jeneza lenye Mwili
wa mwandishi wa habari wa TBC Samweli Chamulomo likiwekwa kaburini
katika mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kikuyu mjini Dodoma
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, DKt. Fenella Mukangara ,
akiweka shada la maua katika kaburi la mwandishi wa habari wa TBC
marehemu Samweli Chamulomo yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kikuyu mjini
Dodoma. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.