Ndugu wa
mshambuliaji wa klabu ya Tottenham Emmanuel Adebayor ameomba msamaha
baada ya nyota huyo kumshtumu katika mtandao wa Facebook na watu wengine
wa familia yake.
Rotimi Adebayor ameiambia BBC kwamba anaomba msamaha kwa makosa aliyofanya na kwamba angependa nduguye arudi katika familia.
Emmanuel
Adebayor ambaye pia anaichezea Togo alisema wiki iliopita kwamba mzigo
wa kifedha wa kuisadia familia yake pamoja na ugomvi katika familia yake
umemuahiribia kazi yake.
Amesema
kuwa anazitaka familia nyungine barani Afrika kupata funzo kutoka kwenye
hili ishu. Kama unakumbuka kwamba Rotimi alitajwana Adebayor kwa
matatizo ya kuwa mwizi wa vitu vya nyumbani pamoja na kwa rafiki zake.
Source BBC.

