Rais
wa FIFA, Sepp Blatter akishangilia ushindi wake baada ya kutangazwa kwa
matokeo yaliyomrejesha kuendelea kuliongoza shirikisho hilo katika
uchaguzi uliofanyika jana usiku mjini Zurich.
Blatter ( 79 ) alipata kura 133 katika raundi ya kwanza dhidi ya mpinzani wake Prince Ali aliyepata kura 73.
Nawashukuru sana kwa kunirejesha madarakani