SHEREHE ZA KUFUNGA MAFUNZO YA AWALI YA JESHI LA MAGEREZA KOZI NA. 27 CHUO CHA MAGEREZA KIWIRA ZAFANA, MKOANI MBEYA
Wahitimu
wa Mafunzo ya Awali ya Uaskari Magereza wakipita kwa mwendo wa haraka
mbele ya Mgeni rasmi, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw.
Mbarak Abdulwakil(hayupo pichani) leo Mei 29, 2015 katika Chuo cha
Magereza, Kiwira Kilichopo Mkoani Mbeya.
Wahitimu
wa Mafunzo ya Awali ya Uaskari Magereza wakipita kwa mwendo wa haraka
mbele ya Mgeni rasmi, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw.
Mbarak Abdulwakil(hayupo pichani) leo Mei 29, 2015 katika Chuo cha
Magereza, Kiwira Kilichopo Mkoani Mbeya.
Katibu
Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulwakil akikagua
Gwaride Maalum lililoandaliwa na Wahitimu wa Mafunzo ya Awali ya Uaskari
Magereza leo Mei 29, 2015 Chuo cha Magereza Kiwira, Mbeya.
Katibu
Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulwakil akipokea
Salaam ya heshima akiwa jukwaan kabla ya kukagua Gwaride Maalum katika
sherehe za kufunga Mafunzo ya Uaskari Magereza, Kiwira Mbeya(kushoto) ni
Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja(kulia) ni Mkuu wa Chuo
cha Magereza Kiwira, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Stanford
Ntirundura.
Katibu
Mkuu akikabidhi zawadi kwa Mhitimu wa Kozi Na. 27 ya Uaskari Magereza
ambaye amefanya vizuri katika Somo la Gwaride na Ukakamavu Askari
Mhitimu, Ezra Kapesa leo katika sherehe za kufunga Mafunzo hayo Mkoani
Mbeya(wa pili kushoto) ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John
Casmir Minja.
Gadi
ya Askari wa Kike ambao ni Wahitimu wa Kozi ya Awali ya Uaskari
Magereza wakila Kiapo cha Utii kwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi
na Usalama ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mbele ya
Mgeni rasmi, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi(hayupo
pichani) katika sherehe za ufungaji Mafunzo hayo.
Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja(kulia) akimuongoza
Mgeni rasmi, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak
Abdulwakil(katikati) kuelekea kwenye Ukumbi wa Mihadhara kwa ajili ya
kufunga rasmi Mafunzo ya Awali ya Uaskari Magereza leo Mei 29,
2015(kushoto) ni Mkuu wa Chuo cha Magereza Kiwira, Kamishna Msaidizi
Mwandamizi wa Magereza, Stanford Ntirundura.
Kamishna
Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja akitoa maelezo
mafupi kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi aweze kutoka hotuba ya kufunga rasmi Mafunzo ya Uaskari
Magereza katika Chuo cha Magereza Kiwira, Mkoani Mbeya(Picha zote na
Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
Item Reviewed: SHEREHE ZA KUFUNGA MAFUNZO YA AWALI YA JESHI LA MAGEREZA KOZI NA. 27 CHUO CHA MAGEREZA KIWIRA ZAFANA, MKOANI MBEYA
Rating: 5
Reviewed By: Unknown