Skylight
Band ni mwendo wa kutoa raha sana tukutane Ijumaa hii ndani ya kiota
cha Lukas Pub Masaki jijini Dar kwa kuburudika na band hii
Waimbaji wa Skylight Band wakiendelea kutoa burudani ya kukata na shoka kwenye stageni na moja ya nyimbo zao
kwaraha
zao huku wakiwa wanafuatisha styl za bendi yao pendwa mashabiki
walionekana na nyuso za furaha katika mstari mmoja tayari kwa kuyarudi
Joniko Flower naye katika muziki wa live hashikiki kwa sauti,viuno mpaka pumzi ni hatareeeee
Watu navipaji vyao sasa team sky light band ikiongozwa na Ashura
Kitenge katika miondoko ya zouk huku akisindikizwa na waimbaji wenzake
katikaka,Sony Masamba pamoja na AK 47 meneja wa sky light band
Mashabiki wa Skylight Band wakijiachia kwa raha zao ndani ya kiota cha Lukas pub
KUNAKO
Nigeria Flavour….. Sam Mapenzi akitoa burudani huku akisindikizwa na
wanamziki wenzake waliokuwa wakimpa support ya nguvu kwenye ngoma za
Nigeria ambao ni Joniko Flower (wa kwanza kushoto), Ashura Kitenge(wa
pili kutoka kulia) pamoja na Sony Masamba.
sakata lumba na sky light band hapana chezea hatareee ukigusa lazima unase
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 akiimba mmoja ya nyimbo yenye hisia kali sambamba na msanii mwenzake Sam Mapenzi
Sugua sugua mpaka utakate ni nomaaaama saaanaa karibu leo kuna mambo mazuri ndani ya Skylight Band
Skylight Band ni mwendo wa kutoa raha sana tukutane Ijumaa hii ndani ya
kiota cha Lukas pub Masaki jijini Dar kwa kuburudika na band hii
Aneth Kushaba AK 47 akiimba kwa hisia kubwa mbele ya mashabiki wake
huku akiwa na wasanii wenzake upande wa kushoto ni Sony Masamba na
upande wa kulia ni sam mapenzikatika kiota cha Lukas, Masaki jijini Dar
Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower akishusha mistari na
kucheza huku waimbaji wenzake Sony Masamba (wa pili kutoka kushoto),
Aneth Kushaba(wa pili kutoka kulia) pamoja na Sam Mapenzi
wakisebenekaIjumaa iliyopita ndani ya kiota cha Lukas Pub jijini Dar.Waimbaji wa Skylight Band wakizirudi sebene zilizokuwa zikiimbwa na Joniko Flower
Sam Mapenzi pamoja(Kushoto) na Ashura Kitenge wakiimba kwafuraha huku wakiwakonga nyoyo mashabiki wa Skylight Band
Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live na mwimbaji mwenzake Sony Masamba wakiwa wanaendelea kutoa burudani murwa kwa mashabiki wao
katika ubora wake Sony Masamba akiwa anaonyesha namna ya kucheza styl mpya na Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower
Binti
mwenye sauti ya kumtoa Nyoka pangoni, Ashura Kitenge akiimba kwenye
stage huku akisindikizwa na waimbaji wenzake ambao ni Meneja wa
Skylight Band, Aneth Kushaba AK47 wa kwanza kulia pamoja na Sony Masamba
Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba AK47 akiimba sambamba na msanii mwenzake Ashura Kitenge
baada ya kuonekana kukunwa na burudani inayotolewa na band ya sky light mashabiki wakaanza kulisakata
wajanja
wote tunakutana skylight band kila weekend kutupa shida chini na kuweka
mikono juu huku viuno tukiwa hatuvisahahu kuvino sasa
Mmoja wa mashabiki wa Bendi ya Skylight akichukua kumbukumbu.