Katibu
Mkuu wa Chama Cha Wananchi ( CFF ), Maalim Seif Sharif Hamad akichukua
Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar katika Tawi la CUF Bububu Zanzibar.
Maalim Seif akionesha Fomu yake baada ya kukabidhiwa na Katibu wa Tawi la CUF Bububu Zanzibar
Katibu
Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia Wanachama wa CUF
katika viwanja vya Tawi la CUF Bububu wakati wa kuchukua Fomu ya
kugombea Urais wa Zanzibar.
Viongozi
wa CUF wakimsikiliza Maalim Seif akihutubia baada ya kuchukua Fomu ya
kugombea Urais wa Zanzibar, mkutano huo umefanyika katika viwanja vya
Tawi la CUF Bububu Zanzibar
Wanachama
wa CUF wakimsikiliza Maalim Seif akiwahutubia baada ya kuchukua Fomu ya
kugombea Urais wa Zanzibar Octoba 2015mkutano huo umefanyika katika
Tawi la CUF Bububu Zanzibar.