https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    UKUTA WA MSIKITI WAANGUKA NA KUUA WATU SABA JIJINI NAIROBI



    Watu wapatao saba wamekufa baada ya ukuta unaozunguka msikiti kuanguka jana usiku katika eneo la Kusini B Jijini Nairobi nchini Kenya.



    Ukuta huo umeanguka kwenye jengo lililojengwa karibu na ukuta katika kitongoji cha makazi duni cha Mukuru, kufuatia mvua kubwa zinazonyesha.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: UKUTA WA MSIKITI WAANGUKA NA KUUA WATU SABA JIJINI NAIROBI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top