https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    SHILOLE HAJITAMBUI,AMWAGA RADHI MAMTONI,MZIWANDA AIBU YAKE

    Nimevumilia lkn nimeshidwa jamani.. ‪#‎Nuh_mziwanda‬ ni mchizi wangu wa karibu sana na nimeanza kufahamiana naye Long tym sana na hata kazi zake akitoa mie namsaidia kuzipush ktk ‪#‎Media‬ za za ‪#‎Dodoma‬ hata meneja
    wangu @erickwangu analifahamu
    hilo,Hivyo basi bila ubishi ‪#‎Shishi‬ ni my shem, Ila kwa styl hii daaaa nimeshidwa kuvumilia nikaona ni bora tu share watu wangu wa‪#‎udaku_wa_boss_ngasa‬ kuwa hii ni sawa jamani? Kumbuka hapo sio Tanzania, Ni mamtoni ambako alikuwa anapiga show, Sasa jiulize wao watatuchukuliaje sisi watanzania?? Kama msanii ambaye ni kioo cha jamii na kazi yake ni kuelimisha jamii kupitia sanaa yake, Sasa cjui anatuelimisha kwa kutuonyesha manyonyo yake au la?? Ila mie sijui
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: SHILOLE HAJITAMBUI,AMWAGA RADHI MAMTONI,MZIWANDA AIBU YAKE Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top