https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    WAZIRI WA KAZI NA AJIRA,GAUDENSIA KABAKA AZINDUA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA NHIF ARUSHA.


     Waziri wa Kazi na Ajira,Gaudensia Kabaka akizungumza wakati akizindua Baraza la Wafanyakazi wa Mfuko wa Bima ya Afya(NHIF) jijini Arusha leo,kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF,Michael Mhando na kulia ni Makamu Mwenyekiti  aliyechaguliwa wa Baraza la Wafanyakazi,Deudedit Rutazaa.
     Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Bima ya Afya nchini(NHIF),Michael Mhando akitoa hotuba yake leo wakati wa mkutano wa uchaguzi na uzinduzi wa Baraza la Wafanyakazi wa mfuko huo.
      Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa Mfuko wa Bima ya Taifa,Deusdedit Rutazaa akizungumza baada ya kuchaguliwa na kuhaidi kutoa utumishi uliotukuka.
     Baadhi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa Bima ya Afya(NHIF)wakiimba wimbo wa Mshikamano kuhamasisha umoja na  maslahi bora kazini.
     Wajumbe wa mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Mfuko wa Bima ya Afya(NHIF) wakifatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa katika mkutano huo.
       Wajumbe wa mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Mfuko wa Bima ya Afya(NHIF) wakifatilia kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa katika mkutano huo.
    Waziri wa Kazi na Ajira,Gaudensia Kabaka(katikati)akiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya NHIF.
    Waziri wa Kazi na Ajira,Gaudensia Kabaka(katikati)akiwa katika picha ya pamoja na Mameneja wa mfuko wa  NHIF.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: WAZIRI WA KAZI NA AJIRA,GAUDENSIA KABAKA AZINDUA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA NHIF ARUSHA. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top