Wachezaji wa Arsenal kutoka kushoto Hector Bellerin, Tomas Rosicky, Santi Cazorla, Danny Welbeck na Nacho Monreal wakionyesha jezi zao mpya za nyumbani msimu wa 2015-2016 katika hafla iliyofanyika Uwanja wa Emirates usiku wa jana. Jezi hizo mpya za Washika Bunduki hao zinatarajiwa kuingia sokoni Juni 25, mwaka huu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Item Reviewed: ARSENAL 'WAACHIA' UZI MPYA WA 2015/2016...THIERRY HENRY ALIKUWEPO
Rating: 5
Reviewed By: Unknown

