Daaah CHADEMA Yajibu Mapigo Arusha. Picha 20+. Sheikh Amri Abeid Watu Wasingetosha. Historia Yaandikwa Tena
Wabunge Wa Chadema wakiwa kwenye ofisi za kanda kwaajili ya uzinduzi wa Kampeni za kuhamasisha uandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura katika mikoa ya kanda ya kaskazini tukutane viwanja vya ngarenaro