Kuna vitu vimeendelea mitandaoni kwa muda mrefu, labda wakati mwingine mitandao ya kijamii huwa haina taarifa za ukweli kuhusu ukweli wa ishu zenyewe.
Staa wa muziki toka Nigeria, Davido aliwahi kuingia kwenye headlines baada ya kuweka post ambazo watu walihisi kwamba jamaa hakuwa na furaha na ushindi wa Diamond Platnumz kupata Tuzo tatu South Africa na pia Idris kuibuka na Ushindi waBBAHotshots mwaka 2014.
Davido kaweka post hii dakika chache zilizopita kwenye ukurasa wake @Instagram, ameweka bendera ya Tanzania alafu hajaandika chochote zaidi ya kuweka alama ya love!!❤️