Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwapungia mkono wananchi, baada ya kuteremka kutoka ndani ya boti ya (Kilimanjaro 111), aliyosafiria akitokea Dar es Salaam.
Aliondoka Zanzibar jana saa 9:30 jioni kwa boti ya (Kilimanjaro 1V) na kurejea kutoka Dar es Salaam leo saa 5:30 asubuhi kwa boti ya (Kilimanjaro 111)