https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MADAKTARI WA MAREKANI WAMEFANYA UPASUAJI WA KWANZA WA MTU KUPANDIKIZWA FUVU

    Madaktari wa Marekani wamefanya upasuaji wa kwanza wa mtu kupandikizwa fuvu la kichwani uliyotumia muda wa saa 15.

    Mgonjwa aliyefanyiwa upasuaji huyo James Boysen, mkazi wa Texas, alikuwa amepoteza sehemu yote ya juu ya fuvu la kichwani baada ya kufanyiwa matibabu ya aina isiyoyakawaida ya saratani.

    Wakati wa matibabu yake mgonjwa huyo wa saratani pia alipandikizwa figo pamoja na kongosho.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MADAKTARI WA MAREKANI WAMEFANYA UPASUAJI WA KWANZA WA MTU KUPANDIKIZWA FUVU Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top