NDIVYO SAFARI YA UBUNGE YA WEMA SEPETU ILIVYOKUWA MJINI SINGIDA
Namshukuru Mungu kwa yote.. na sasa safari kuwania ubunge imeanza salama Singida... nashukuru mashabik wangu mnanipokea vzuri sana.. yaani nawapenda mnooo.. Mungu awajalie yaliyo kheri!!! kweli Wanawake tunaweza..