NOOIJ ASINDIKIZWA NA POLISI BAADA YA MECHI STARS IKILALA 3-0 ZANZIBAR
Kocha
wa Taifa Stars akisindikizwa na Polisi baada ya mchezo dhidi ya Uganda
usiku huu Uwanja wa Amaan. Taifa Stars imefungwa mabao 3-0 mechi hiyo ya
kwanza ya kufuzu CHAN 2016 Rwanda.