Uongozi wa blog ya watanzania unawatakia waislamu wote nchini mfungo mwema wa Ramadhani, na ni matumaini yetu swaum na dua zenu katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani zitaleta maendeleo katika ukuaji wa imani, utulivu wa kiroho na kuwasogeza karibu na Allah.