Mkurugenzi
wa Fedha wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Cavin O'Flaherty (wa pili
kulia), akipokea tuzo ya mwajiri bora wa kwanza katika idara ya
matekelezo ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kutoka kwa
Meneja Kiongozi wa NSSF mkoa wa Temeke, Bw. Chieldrick Komba, Dar es
Salaam jana. Wengine kulia ni Meneja wa Huduma za TBL, Alois Maleck
Qande (wa pili kulia), Afisa Uhusiano Doris Malulu (kulia) na baadhi ya
maofisa wa NSSF (waliosimama kushoto.
Mkurugenzi
wa Fedha wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Cavin O'Flaherty (wa nne
kulia) na Meneja wa Huduma za TBL, Alois Maleck Qande (wa tatu kulia)
wakionyesha tuzo za ushindi wa kwanza wa mwajiri bora walizopewa na
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Wengine ni baadhi ya
maofisa wa NSSF na TBL.
TUZO ZENYEWE
WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA