https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Tigo yafungua duka lililokarabatiwa Jijini Arusha

    1
    Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Mhe.Christopher Kangoye akikata utepe kuzindua Tawi la Kampuni ya Tigo mjini Arusha,wanaoshuhudia kulia ni Meneja huduma kwa wateja Tigo Kanda ya Kaskazini, Gwamaka Mwakilembe na kushoto ni Mwangaza Matotola, Meneja wa Ubora wa huduma kwa Wateja Tigo.

    2
    Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Mhe.Christopher Kangoye akangalia bidhaa zilizomo ndani ya Duka la Tigo mara baada ya kuzindua duka hilo, kulia kwake anayetoa maelekezo ni Meneja huduma kwa wateja Tigo Kanda ya Kaskazini, GwamakaMwakilembe.
    IMG_0354
    Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Mhe.Christopher Kangoye akibadilishana mawazo na Meneja wa Mawasiliano wa Tigo John Wanyancha.
    IMG_0434
    Baadhi ya Wafanyakazi wa Tigo wakifuatilia kwa makini hotuba ya mkuu wa wilaya.
    IMG_0449
    Meneja wa Mifumo ya Kibiashara na Mawasiliano wa Tigo Bi. Halima Kasoro akimkabidhi zawadi Afisa Mtendaji wa Temi Jijini Arusha Bi. Irene Joshua Ndosi wakati wa uzinduzi wa duka la Tigo.
    IMG_0450
    Meneja wa Ubora huduma kwa Wateja wa Tigo Bi Mwangaza Matotola akimkabidhi zawadi Afisa Mtendaji wa Levolosi Jijini Arusha Bi.Ester Maganza wakati wa uzinduzi wa duka la Tigo.
    IMG_0452
    Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Mhe.Christopher Kangoye (katikati) akipokea zawadi toka kwa Mwangaza Mtotola na Halima Kasoro.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: Tigo yafungua duka lililokarabatiwa Jijini Arusha Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top