https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Wayne Rooney na mpenzi wake pamoja na mastaa wenzake walivyotokea kwenye Harusi ya Tom Cleverley.. (Pichaz)

    Kiungo wa zamani wa klabu ya Manchester UnitedCleverley amefunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu, Georgina Dorsett katika shughuli ya kifahari iliyofanyika huko Claridge.

    Ndoa hiyo ilihudhuriwa na mastaa wengi wa soka akiwemo nahodha wa klabu ya Manchester United na England, Wayne Rooney ambaye pia aliongozana na mkeweColeenChris Smalling wa Man UnitedDanny Welbeck na wachezaji wengine, pia alikuwepo mwimbaji wa band ya The SaturdaysRochelle Humes.

    Cleverley na mkewe wakiwa wanatoka kanisani
    Mchezaji wa ArsenalDanny Welbeck
    Wayne Rooney na Coleen Rooney Harusini
    Wanandoa kwenye pozi la picha

    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: Wayne Rooney na mpenzi wake pamoja na mastaa wenzake walivyotokea kwenye Harusi ya Tom Cleverley.. (Pichaz) Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top