DIAMOND PLATNUM NA ALI KIBA WAKUTANA NDANI YA TUZO MOJA
African Muzik Magazine awards zawakutanisha Diamond na Ali Kiba,Mchuano huo utakuwa mkali kutokana na upinzani wa wasanii na team zao.Mwaka jana 2014 Diamond alishinda tuzo hiyo ya msanii bora wa kiume Afrika mashariki kwa sasa yupo vipengele sita.
0 comments:
Post a Comment