https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Duuuu!! Hizi Ajali gari ya tumbukia kwenye paa

    null

    Mapema leo gari liligonga na kuingia ndani ya nyumba moja nchini kupitia paa la nyumba hiyo Afrika Kusini.  Dereva wa gari hilo amesema kuwa alipokuwa akiliendesha gari hilo alikutana na tuta moja barabarani lililosababisha gari hilo kuruka na kuanguka katika paa la nyumba hiyo. 
    Bado haijulikani ni vipi tuta hilo lilisababisha ajali hiyo.
    Hakuna mtu aliyejeruhiwa na dereva wa gari hilo hakupata jeraha lolote.



    null 
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Duuuu!! Hizi Ajali gari ya tumbukia kwenye paa Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top