Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole na pia kumpongeza Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa 15 baada ya kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro leo Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo na hatimaye mazishi ya kaka yake Marehemu Chifu Kingalu wa 14.RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA CHIFU KINGALU WA 14 WA WALUGURU, NA KUSIMIKWA KWA CHIFU KINGALU 15 KIJIJINI KINOLE, MOROGORO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole na pia kumpongeza Kiongozi mpya wa kabila la Waluguru wa Mkoa wa Morogoro Chifu Kingalu wa 15 baada ya kusimikwa rasmi kijijini Kinole mkoani Morogoro leo Alhamisi Julai 3, 2015 kufuatia kifo na hatimaye mazishi ya kaka yake Marehemu Chifu Kingalu wa 14.





0 comments:
Post a Comment