Straika wa Real Madrid, Karim Benzema amepata girl friend mpya anayeitwa Analicia Chaves.
Awali Analicia alikuwa anatoka kimapenzi na kiungo wa zamani wa kimataifa wa Ubelgiji, Axel Witsel.
Benzema yuko busy sana na
masuala ya mapenzi majira haya ya kiangazi kwani siku za karibuni
alihusishwa kutembea na Rihanna baada ya kurekodiwa video wakila bata
huko Marekani.
Picha ya mtoto mzuri wa Benzema iko hapa chini:
0 comments:
Post a Comment