https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    KIONGOZI WA UPINZANI NCHINI BURUNDI AGATHON RWASA AMECHAGULIWA KUWA NAIBU SPIKA

    Kiongozi wa upinzani nchini Burundi Agathon Rwasa amechaguliwa kuwa naibu spika wa bunge la nchi hiyo, licha kukosolewa mno kwa uchaguzi wa wabunge na wa rais nchini humo.

    Kumekuwepo na mgogoro wa kisiasa tangu rais Pierre Nkurunziza atangaze kuwania tena urais kwa muhula wa tatu.

    Rwasa ambaye alijitoa mwezi uliopita katika uchaguzi wa rais na kuuelezea ushindi wa Nkurunziza kama mzaha, amekubali nafasi hiyo na kusema ataitumia kurejesha amani.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: KIONGOZI WA UPINZANI NCHINI BURUNDI AGATHON RWASA AMECHAGULIWA KUWA NAIBU SPIKA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top