https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    ZIMBABWE YAMTAKA DAKTARI MMAREKANI ALIYEUWA SIMBA WAO ALETWE

    Waziri wa Mazingira wa Zimbabwe Oppah Muchinguri amesema daktari wa meno wa Marekani aliyemua Simba maarufu nchini Zimbabwe anapaswa kurejeshwa kutoka Marekani ili akabiliane na makosa yake.

    Waziri huyo amesema Daktari Walter Palmer anapaswa kurejeshwa Zimbabwe ili awajibishwe kwa kitendo chake hicho cha kuvunja sheria.

    Daktari Palmer, kutoka Minnesota, inaaminika kuwa alilipa dola 50,000 ili kuwinda Simba, anayejulikana kama Cecil, na alidhani kuwa anaruhusiwa kisheria kumua Simba huyo.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: ZIMBABWE YAMTAKA DAKTARI MMAREKANI ALIYEUWA SIMBA WAO ALETWE Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top