https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MCHEKI JB AKIWA AMEPOZI NA WACHEZAJI WA YANGA

    11539089_954434091265791_7537992558510574579_oMsaanii maarufu wa maigizo (Bongo Movies) Jacob Steven maarufu kama JB ameonekana kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wachezaji wa kikosi cha timu ya Yanga akiwa amefurahikupiga nao picha.
    JB anafahamika kuwa yeye ni shabiki mkubwa wa ‘Wekundu wa Msimbazi’ Simba, lakini aliamua kupiga picha ya pamoja na wachezaji hao kwa ajili ya kuonesha kuwa kuwa kuishabikia Simba haimaanishi anauadui na wachezaji, mashabiki au wadau wa Yanga
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MCHEKI JB AKIWA AMEPOZI NA WACHEZAJI WA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top