Manchester United ni klabu yenye mashabiki wengi mno Duniani kote akiwemo Jenna Jameson.
Huyu ni ‘Malkia wa Ngono’ ….yaani ni muigizaji maarufu wa filamu za ngono.
Wakati Manchester United ikijiandaa kuchuana na Barcelona keshokutwa Santa Clara, Marekani, Jenna anahangaika kupata tiketi ya kushuhudia mtanange huo mkubwa.
Jenna ame-post Screenshot yenye taarifa za mechi hiyo kali ya International Champions Cup ikiwa na ujumbe usemao,
“Najitahidi sana kupata tiketi ya hii!!.
Baada ya kuulizwa kama ni shabiki wa Manchester United, mcheza filamu huyo za watu wazima aliwathibitishia wafuasi wake kwenye mtandao wa Twitter kwamba yeye ni shabiki wa Mashetani wekundu.
0 comments:
Post a Comment