https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    TASWIRA 5 ZA MASHINE MPYA YA LIVERPOOL BAADA YA KUWASILI ANFIELD

    2AC2B81C00000578-0-image-a-2_1437595781569
    Hatimaye Liverpool wakamilisha usajili wa mshambuliaji wa Kibelgiji na klabu ya Aston Villa,  CHRISTIAN BENTEKE kwa ada ya pauni milioni 32.5. 
    Nani kuunda safu ya ushambuliaji baada ya kuwashuhudia DANNY INGS, ROBERTO FIRMINO kutinga Anfield mapema mwezi huu?
     
    Hapa mambo ni dole tu, hakuna noma mazee! 
    The 24-year-old striker puts pen to paper on a long-term deal after switching from Aston Villa
     
    Benteke, 24, akisaini mkataba wa muda mrefu
    Benteke has been prolific — 42 goals in 89 Premier League games — for Aston Villa since joining in 2012
    Benteke amefunga magoli 42 katika mechi 89 za  Premier League tangu ajiunge na  Aston Villa mwaka  2012
    Benteke pulls on the Liverpool shirt and poses at the club's Melwood training ground
    Benteke akiwa amevalia uzi wa Liverpool na kupozi atika uwanja wa mazoezi wa Melwood 
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: TASWIRA 5 ZA MASHINE MPYA YA LIVERPOOL BAADA YA KUWASILI ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top